SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Finally Vanessa Mdee Ditched The Baby Hair Weaving
Urembo

Finally Vanessa Mdee Ditched The Baby Hair Weaving 

New Mom in Town Vanessa Mdee ame-upgrade nywele yake & we are happy about it, Vanessa amekuwa akiweka nywele yake moja ambayo inamuhitaji kuweka baby hairs na by the look of it kama sio hair stylist wake basi yeye mwenyewe hakuwa anazipatia hii ikasababisha gumzo mtandaoni kuhusu baby hair zake.

Imeonekana amesikia kilio cha wengi na kuamua kuachana na hii nywele na kubalisha kwenda kwenye nywele mpya ambayo haina stress ya baby hair, na kutokana na caption yake inaonekana sio sisi tu ambao tumefurahia huu muonekano mpya bali hata shemeji yetu Rotimi A.K.A Mr. Butterscotch amependezwa nao pia.

Kuweka baby hair sio rahisi kama ambavyo tunadhani lakini siri ipo kwenye kifundo cha mkono, ni muhimu kulegeza na ku-control movement zako za mkono kuhakikisha huweki baby hair mpaka zikaonekana sio baby hair bali ni grown up hair.

Related posts

1 Comment

  1. แทงบอล

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/finally-vanessa-mdee-ditched-the-baby-hair-weaving/ […]

Comments are closed.