Moja kati ya wanamitindo wafanyao vizuri ni Flaviana Matata, ukiachana na kuwa vizuri katika kazi yake na kuipeperusha bendera ya Tanzania vyema, Flaviana ni mfanyabiashara lakini pia anajipenda sana. Ukimuona utawaza ana fanya nini skincare yake, je anakula na kufanya mazoezi yapi mpaka mwili wake hauongezeki wala kupungua?
Lakini pia utajiuliza Flaviana ana nukiaje? kuna watu ukiwaona unajua tu huyu atakuwa ananukia vizuri lakini ungependa kujua hio harufu ni nzuri kiasi gani (lol), katika mtandao wa twitter Flaviana ali-share perfume collection yake

na tukaona tukuletee hapa na bei zake
- Tom Ford Rose Prick 50mls
perfume za Eau ni aina za perume ambazo mafuta ya perfume huwekwa zaidi kufika 15-18% yakiwa yamechanganywa na alcohol na ni gharama zaidi.
Hii Rose Pick kutoka Tom Ford inauzwa USD 395 sawa na Tsh 930,225/-

Kuhusu perfume hii imekuwa inspired by Tom Ford’s private rose garden, Rose prick ina presents Bulgarian rose & rose de mai, pierced with thorns of fiery pepper & spice – while indonesian patchouli exhales around Turkish rose’s precious hearts.
- The Noir 29,
Inauzwa USD 198 sawa na Tsh 466,686/-

Kwa upande wa hii parfum inasemekana harufu yake ina-combines depth and freshness, softness and strength through permanent oscillation between the light of bergamot, fig, and bay leaves and the depth of cedar wood, vetiver and musk. A special extraction of black tea leaves wraps up the composition by bringing to the formula a dry, leafy, hay, tobacco feeling in the dry down to transform this creation into a sensuous and addictive essence.
- Good Girl Gone Bad By Killan
Inauzwa USD 252 sawa na Tsh 593,460/- na yenyewe ni Eau perfume so you can tell anapenda perfume za aina hii,
Good Girl Gone Bad ni composition of fruits and flowers, a perfume as bewitching as bursts of laughter, a barrier moved beyond, a forgotten prohibition.

- Jo Malone Velvet Rose And Oud
Inauzwa USD 119.78 sawa na Tsh 282,081.90/-

Kuhusu hii perfume – Darkest Damask rose, with its origins in ancient Persia, is famed for its magnetic and voluptuous floral scent. Spiked with clove and the decadent edge of praline, this rich and textural note is the perfect complement to the smoky depths and sweet warmth of precious oud wood.
tunaweza kusema Flavy anapenda kunukia lakini sio mpaka akaboha majirani.
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…