Japo huwa tuna penda Handbag za Leather lakini pia huwa tuna penda kuonekana wa tofauti, na hii Bamboo handbag kutoka kwa Gaias Ark mkamiliko wa ndoto za wasichana wengi. Japo ina downfall yake lakini hakuna msichana asiependa ” a little cute and different thing” na hii Bamboo Handbag ndio hio cute thing
Kitu ambacho wengi wameona kime angusha huu mkoba ni kwamba ndogo sana na inaonyesha ndani, kwaio haina nafasi ya kutosha ya kubeba vitu na hata uki vibeba basi itaonyesha vilivyopo ndani. Lakini kwa kuiangalia na uzuri wake kila mtu ame fall in love nayo.
Saa nyingine si lazima ubebe vitu vingi na una weza kuibeba hii handbag just for show off (a girl lazima awe ana show off ).
Off Course our favorite Nigerian Fashion Blogger Stella-Uzo wa J’adore Fashion kasha jipatia ya kwake na kaitendea haki kwa kuivaliia na jumpsuit ya njano/orange printed mules na kofia. She killed this look. Tume penda kila kitu katika hii outfit
Jessica Alba Pia nae kajipatia ya kwake japo hatuwezi kuongea sana kuhusu muonekano wake
Handbag hii inauzwa $88 sawa na 193,600 za Ki’Tanzania.
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 65548 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/gaias-ark-bamboo-handbag-ni-ndoto-ya-kila-msichana/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/gaias-ark-bamboo-handbag-ni-ndoto-ya-kila-msichana/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/gaias-ark-bamboo-handbag-ni-ndoto-ya-kila-msichana/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/gaias-ark-bamboo-handbag-ni-ndoto-ya-kila-msichana/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/gaias-ark-bamboo-handbag-ni-ndoto-ya-kila-msichana/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/gaias-ark-bamboo-handbag-ni-ndoto-ya-kila-msichana/ […]