Mahitaji
vifuko viwili vya green tea
vijiko viwili vya greek yogurt
kijiko kimoja cha olive oile
kijiko kimoja cha asali
Namna ya kufanya
Kabla hujaanza kupaka facial mask yako chemsha maji weka katika beseni na uinamie ule mvuke wake kwa dakika 10, hii itasaidia kufungua matundu yaliyo zibika kwa mafuta. Pia husaidia kuondoa mafuta na kusafisha uso.
Baada ya hapo chukua mahitaji yako yote na changanya katika makuli. Paka usoni na ukae nayo kwa muda wa dakika 20-30, kabla hujaiosha uso wako sugua kama una fanya scrub kisha osha uso wako kwa maji safi. Unaweza kupaka mafuta yako kama kawaida.
Hii husaidia kufanya ngozi ya uso wako kuwa nyororo
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/green-tea-facial-mask/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/green-tea-facial-mask/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/green-tea-facial-mask/ […]