Angela Renée White una weza kumuita Angela Robert Kardashian au Blac Chyna ni model na mjasiriamali lakini pia ni video vixen, Chyna ambae hivi karibuni ame jifungua mtoto wake wa pili kutoka kwa mpenzi wake wa sasa Robert Kardashian, wakati mwanae wa kwanza ali zaa na Rapper maarufu Tyga, Chyna ameonekana kum’channel mama yake mkwe wa sasa Kris Jenner kwa kukata nywele zake na kuweka rangi ya grey (not sure kama amekata au wig au weave)

ila hio ndio new look yake kwa sasa

Kris Jenner

Je umeipenda style mpya ya Chyna? tuambie kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

 

Comments

comments