SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Gucci Headband Anazozivaa Juma Jux Zinathamani Ya Tsh 613,251/-
Urembo

Gucci Headband Anazozivaa Juma Jux Zinathamani Ya Tsh 613,251/- 

Juma Jux ni moja kati ya wasanii wanaopenda kwenda na wakati, mara nyingi huwa anajaribu kuwa wa tofauti kwa kujitofautisha mavazi na wengine. Kuanzia mwaka jana mwishoni tumemuona Juma akiwa anabadilisha style yake to more of retro vintage style. Anachanganya mavazi kitu ambacho tumependa anaonekana tofauti.

Kwa sasa tume muona Juma Jux akiwa fan wa kuvaa headband ambazo ni kutoka kwa Gucci. Tunajaribu kutafuta ilitugundue kama hizi headband ni original au fake, lakini kama ni original hizi headbands zinauzwa Usd 270 sawa na pesa za ki-Tanzania 613,251/-

Anazo Headband hizi tatu ya stripe ambayo aliivaa na Tank Top / Vest ya cream yenye maandishi mekundu na meusi, alimalizia muonekano wake na track pants nyeusi yenye stripes nyekundu. Ame add jewerly kama hereni, saa na mikufu.

 

 

 

 

 

 

Lakini pia anayo hii nyekundu yenye maandishi ya logo ya Gucci ambayo ameivalia na t-shirt nyekundu iliyo endana na headband, amemalizia muonekano wake kwa kuvaa glasses na kuongezea mikufu, hereni na saa. Seems like Juma hawezi kutoka bila jewerlies.

 

Ya tatu ambayo tumemuona nayo ni hii Elastic Web Headband ambayo nayo inathamani sawa na zilizopita, hii aliivalia na T-shirt nyeusi cardigan sweater ya kijani ambayo ina stripes nyeupe na nyeusi.

Kama hizi headband ni original basi Juma ametumia 1,839,753/- kwa zote tatu. Je the headband’s worth the price?

Related posts

3 Comments

  1. More Help

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/gucci-headband-anazozivaa-juma-jux-zinathamani-ya-tsh-613251/ […]

  2. 코인선물

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/gucci-headband-anazozivaa-juma-jux-zinathamani-ya-tsh-613251/ […]

  3. 늑대닷컴

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/gucci-headband-anazozivaa-juma-jux-zinathamani-ya-tsh-613251/ […]

Comments are closed.