SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

HAIR DO KUTOKA KWA VANESSA,LULU,WOLPER NA GIGY
Hair

HAIR DO KUTOKA KWA VANESSA,LULU,WOLPER NA GIGY 

Hii ndo sehemu ya kujua watu maarufu gani wana style gani ya nywele ili na wewe upate kuiga muonekano huo, leo tuna unique hair styles kutoka kwa Elizabeth Michael “lulu”, Gigy Money, Vanessa Mdee na Jacqueline Wolper

13551725_1552996871672833_1817131978_n

Vanessa ana hizi braids mwenyewe ana ziita “Bantu Kushite ” amependeza mno

13628375_1125153830906453_648897992_n

 

Gigy ana Havanna Twist za rangi mbili kama una weza u can rock them uonekane wa tofauti 13671080_540186272837419_1484989660_n

Wolper ana Kiduku cha ku bond, ambapo hii nywele ni blonde ambayo ina steps za blonde kuna iliyo koza hadi ilio pauka kabisa

13658396_1071320229618946_1671074614_n

Elizabeth “lulu” ameamua kuweka nywele nyekundu.. kapendeza pia

tupe maoni yako  nani kanoga na nani kazingua pia unaweza

Tufollow instagram @afroswagga

Twitter @AfroswaggaTz

Facebook AfroSwagga

Related posts

3 Comments

 1. Microdose Magic Mushroom Capsules – (Focus & Energy)

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/hair-do-kutoka-kwa-vanessaluluwolper-na-gigy/ […]

 2. เว็บพนัน

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/hair-do-kutoka-kwa-vanessaluluwolper-na-gigy/ […]

 3. เด็กเอ็น

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/hair-do-kutoka-kwa-vanessaluluwolper-na-gigy/ […]

Leave a Reply