Wanawake wengi tunapenda kusuka rasta mitindo tofauti tofauti maana kila siku inakuja mipya lakini huwa tunapitia hili tatizo, wengi huwa tunawashwa sana na hizi nywele ni kwa sababu ya joto na kwa sababu nywele ni fake zimetengenezwa na chemical ambazo huwa hazizuii joto, basi zile nywele zilivyo nyingi kichwani zikipigwa na joto unapata muwasho kichwani lakini je ni namna gani unaweza kuzuia hili?
Apple cider vinegar au plain vinegar vinaweza kukusaidia.
Namna ya kufanya kabla ya kusuka rasta zako
- Mimina kikombe kimoja cha Apple Cider Vinegar au Plain Vinegar katika Sink,beseni au bakuli.
- Changanya na maji ya uvugu vugu
- chukua rasta unazo taka kusukia weka kwenye bakuli au sink
- ziache zikae kwa 30min au lisaa limoja
- utaona vitu vyeupe vinaelea katika bakuli, beseni au sink lako hizo ndizo chemical
- baada ya hapo osha rasta zako kwa maji masafi mara mbili na ukaushe zikauke tayari kwa kuzitumia
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/hair-tips-how-to-make-your-braids-stop-itching/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/hair-tips-how-to-make-your-braids-stop-itching/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/hair-tips-how-to-make-your-braids-stop-itching/ […]