SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

HAIR TREND UNAZO WEZA KUJARIBU
Hair

HAIR TREND UNAZO WEZA KUJARIBU 

Waswahili husema mwanamke nywele lol japo hili neno hutumikaga sehemu nyingi hasa kile ambacho mtu kabarikiwa nacho ina weza ikawa mwanamke jicho au chochote lakini leo kwa sababu tunaongelea nywele acha ikae kama mwanamke nywele.

Kwa sasa watu wengi wana fanya healthy hair journey na kwa sababu hio trend nyingi za nywele kwa sasa ni zile protective hair styles ambazo hazikati nywele na hizi ndizo zinazo bamba kwa sasa

faux locks ziko kwenye trend sana kwa sasa na hasa baada ya Rihanna kusukia una weza kusuka kama crochet ili ku protect nywele zako na kukatika

14272115_335553326787192_950518450_n

Cornrows achana na twende kilioni tano sasa hivi zipo style nyingi sana za kusuka twende kilioni ambazo zina wafaa watu wa rika tofauti tofauti

14474111_346737922327046_8508051852250578944_n

Natural Afro – Hizi ni nzuri zaidi maana ina onakeana kama natural hair yako pia una weza kusukia kama crochet ambapo rasta za kutumia ni marley braids au afro kikny

12918449_1544193792548602_631371118_n

Duchess Braid Wrapped – Jokate is a queen linapo kuja swala la protective hair styles na hii ni yake tulio iona nayo si mbaya kuijaribu

14359563_255569938171492_3615798920573091840_n

 

Related posts