SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Halloween Makeup From Tanzania Makeup Artist’s
Urembo

Halloween Makeup From Tanzania Makeup Artist’s 

Usiku wa Oktoba 31, ina semekana kuwa ni usiku wa Siku ya Watakatifu Wote, mara nyingi huadhimishwa na watoto kwa kuvaa masks za kuogopesha, Halloween inafikiriwa kuhusishwa na tamasha la Celtic Samhain,when ghosts and spirits were believed to be abroad

Ifikapo October watu ambao husherehekea siku hii wanatupa looks mbalimbali za kutisha ili kwenda na theme ya Halloween ambapo kwetu Tanzania tumeona makeup artist watatu walitupa makeup looks ideas za Halloween

Makeup artist tglamtorials, yeye alikuwa inspired na makeup artist mwenzie @heysofimakeup
Ambapo alikuwa in colorful makeup akamalizia na black touch’s na black lipstick


Makeup By Eddie ( makeupbyeddie_ ) yeye alimua kuwa bold na kuwa ghost kwenye hii makeup look yake, tunapenda kuona makeup artist wetu wakitoka nje ya comfort zone zao na kuonyesha art zao ku-express mambo mbalimbali

Makeup artist Nasra au nashpointdesign yeye alikuwain sewed mouth makeup

Well Afromates thoughts kwenye looks zao?

Related posts