SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Hans Tone Rocking Black Nail Polish
Urembo

Hans Tone Rocking Black Nail Polish 

Dhana za kusema kupaka rangi katika kucha ni Uanamke zimepita sasa hivi wanaume nao wanapaka rangikucha zao, by the way kupaka rangi kucha kumeanza miaka mingi tangu enzi za ma’babu zetu kwaio sio kitu kigeni bali tu hapa katikati swala hili liliachwa kwakua iliaminika urembo huu ni kwaajili ya wanawake.

Wildad Agripa & Rhino King Wame-Join The Men Nail Polish Trend

Well tumemuona msanii wa muziki wa kizazi kipya Hans Tone akiwa amepost kwenye account yake katika mtandao wa kijamii wa Instagram akiwa amevalia mavazi ya rangi nyeupe huku akiwa amepakia rangi nyeusi ya kucha.

Rangi nyeusi inamaanika kuwa ni rangi yenye maana ya authority & assertiveness, Inaaminika ukipaka rangi hii maana yake “you mean business” wakati rangi nyeupe maana yake ni “authority and assertiveness“, kutokana na kazi zake inawezekana Hans Tone anajaribu kutuambia huu mwaka ni wake kupitia mavazi haya.

Related posts