Happiness Magesse ame kata nywele zake na ametupa sababu za kufanya hivyo, katika kurasa wake wa Instagram Hapiness alipost picha ya muoneka wake huo mpya na maelezo ya kwanini kaamua kukata nywele
IIt takes a lot for me to decide to Cut my hair . Last time I cut my hair was 2007 When I lost my Father . I don’t follow so much about culture and it’s not our culture to do so in my tribe but I did for my dad….to honor his effort towards my life ,I wanted to start afresh without him believing he is watching over me forever . Today I cut my hair for me ,just for a change and starting a new chapter . I feel good and ready to live without certain things or pple in my life .Ladies what makes cut your hair short ? Especially when you’re a weave girl💁🏽😊 #💇🏽StarttingAfresh #millenmagese 👑⭐️💛
Happiness hakuishia hapo alipost picha nyingine na maelezo zaidi
You must free yourself ….. Free yourself from anything that stops your mind from moving forward #millenmagess 👑💛
Je mme upenda muonekano huu mpya wa Happy? na is it a right thing to cut your hair kwa sababu tu una taka kuacha baadhi ya mambo behind you?
Tupe maoni yako hapo chini au tu follow Instagram @afroswagga
Related posts
1 Comment
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/happiness-magesse-ana-low-cut/ […]