SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

HASARA NA FAIDA ZA HIVI VINYWAJI KATIKA REMBO
Dondoo

HASARA NA FAIDA ZA HIVI VINYWAJI KATIKA REMBO 

Ulisha wahi kufikiria kinywaji ukipendacho kina faida gani au hasara gani katika urembo? basi hivi ni baadhi ya vinywaji ambavyo wengi tunavitumia kila siku bila kujua faida na hasara zake mwilini mwetu

Maji: husaidia ngozi kuwa safi ki asili, yana faida kubwa sana katika swala zima la urembo, husaidia kuondoa sumu mwili na hivyo upunguza kupata na chunusi, pia hufanya ngozi kuwa nyororo na kuonekana kijana wakati wote na huondoa makunyanzi ya uzee. ukiachana na faida za maji kwenye ngozi maji pia husaidia ukuaji wa nywele.

Maji ya madafu: kama wewe ni mpenda urembo hakikisha hukosi maji ya madafu yana saidia sana katika ngozi, maji ya adafu yana vitamin C ambayo husaidia kuponyesha ngozi zilizo haribika, pia yana sidia ngozi kuto kuzeeka mapema pia husaidia kupingana na uharibu wa jua katika ngozi.

BH_featured_image2

Kahawa: japo ni kinywaji kizuri na kinacho saidia hasa kipindi cha asubuhi lakini wasomi wana sema kina athari katika baadhi ya sekta ya urembo, kahawa huongeza mafuta mwilini kwa sababu ina acid nyingi hii husababisha wale wenye mapenzi na unywaji wa kahawa nyingi mara kwa mara kutokwa na chunusi, pia husababisha ngozi kuzeeka haraka japo pia ina faida zake katika ukuwaji wa nywele.

Pombe: pombe si mbaya tu katika kunywa na kuendesha bali mbaya pia katika sekta nzima ya urembo, pombe husababisha ngozi kusinyaa na kuonekana imezeeka pia mbaya katika nywele ina sababisha nywele kudhoofu, kuwa kavu na kukatika, kuwa muangalifu na unywaji wako wa pombe.

 

 

Related posts

1 Comment

  1. buy winchester arms

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/hasara-na-faida-za-hivi-vinywaji-katika-rembo/ […]

Leave a Reply