SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

HENNA KATIKA MAANDALIZI YA EID
Urembo

HENNA KATIKA MAANDALIZI YA EID 

Kila mtu huwa ana jiandaa vile ambavyo ana pendezwa navyo, wengi hununua nguo mpya, vyakula kwa aili ya kusheherekea sikukuu ya Eid. Lakini pale umri unapo kwenda kununua nguo mpya kidogo ina kuwa ngumu kwaio wengi wetu hupenda kupaka Henna, Hakuna mwanamke anae chukizwa na kupaka Henna labda kama ana matatizo nayo kingozi.

Hizi ndizo Henna zilizopo kwenye Trend sasa hivi

Bangle Henna hizi ni zile ambazo hishia juu kidogo ya mkono yaani haifiki mpaka mwiso hii huwa kama bangili ndo maana ikaitwa Bangle Henna

new-mehndi-designs arabi-hand-design banner-image1 latest-arabic-mehndi-designs

Simple Floral  Henna – hii maua yake huwa simple na si nyingi sana

arabic-mehndi-designs simple-mehndi-design-for-eid

Henna Za Miguuni kama una penda basi hizi zitafaa

eid-mehndi-designs eid-mehndi-designs-for-legs latest-mehndi-designs-for-eid

Related posts

3 Comments

 1. Buy Changa DMT online New South Wales

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/henna-katika-maandalizi-ya-eid/ […]

 2. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/henna-katika-maandalizi-ya-eid/ […]

 3. easy chocolate caramel bars​

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/henna-katika-maandalizi-ya-eid/ […]

Leave a Reply