SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Hereni Za Kamba Za Viatu Zinazouzwa Tsh 583,000
Urembo

Hereni Za Kamba Za Viatu Zinazouzwa Tsh 583,000 

Kuna muda huwa tunawaza hizi brand kubwakubwa huwa wakitoa collection mpya wanaweka na kitu cha kushangaza ili tu wapate kuongelewa tunasema marketing strategy. Tumeona mara nyingi Balenciaga, Gucci, Yeezy wakiwa wanaongelewa kutokana na vitu wanavyo vitengeneza kuwa havi-make sense.

Mfano mzuri ni hizi bow earings zilizo tengenezwa kwa kutumia kamba za viatu, Balenciaga wanauza hereni hizi kwa Usd 250 ambayo ni sawa na Tzs 583,000/-

Hereni hizi zime trend kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakiwa na mitazamo hasi kuhusu hereni hizi. Well Balenciaga hawakuishia hapo kuna choker zake ambazo unaweza ku-match na hereni zako ambazo hizi zinauzwa Usd 450 sawa na Tzs 1,049,400 na pia kuna bracelets zake.

Tuambie je ni chop au drop?

Related posts

3 Comments

 1. albino penis envy spores

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/hereni-za-kamba-za-viatu-zinazouzwa-tsh-583000/ […]

 2. pop over to these guys

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/hereni-za-kamba-za-viatu-zinazouzwa-tsh-583000/ […]

 3. weed delivery in scarborough

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/hereni-za-kamba-za-viatu-zinazouzwa-tsh-583000/ […]

Comments are closed.