SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

HIJAB MAKE UP INSPIRATION KUTOKA KWA DIVAADA
Make Up

HIJAB MAKE UP INSPIRATION KUTOKA KWA DIVAADA 

Anaitwa Dana Ahmed au @divaadana kama anavyo jiita kwenye mitandao ya kijamii, ni hijabista pia ni make up artist. Ukipita kwenye ukurasa wake utapenda kwa jinsi ulivyo pambwa na uzuri wake na make up zake nzuri anazo zifanya. kuwa inspired na yeye mwisho tunakuwekea video (sio ya diva adana) ya jinsi ambavyo unaweza kupata mionekano kama ya Diva Adana

11931078_241007202917508_1170194958_n 12407192_1720519008192091_2117410232_n 12912500_1738777673053013_1786656908_n 12912775_1580618058917619_168483854_n 12960139_457807807748211_813949051_n

juu ni divaadana na make up zake ambapo ukiangalia utaona jinsi alivyo bora katika make up, colorful na neat

Related posts

2 Comments

  1. rich89bet

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/hijab-make-up-inspiration-kutoka-kwa-divaada/ […]

  2. useful content

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/hijab-make-up-inspiration-kutoka-kwa-divaada/ […]

Leave a Reply