SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Himba Tribe Hair Style Trend
Urembo

Himba Tribe Hair Style Trend 

Inavyoonekana kwa sasa trend ambayo inatamba ni kusukia Himba tribe hair styles na hapa hatuongelei kuhusu nywele za mbenjuo, rasta bali ni hii hair style kutoka katika kabila la Himba, Nchini Namibia.

Style hii ipo ipo muda mrefu na mabibi zetu walikuwa wakiitumia, ilipotea kutokana na utandawazi lakini kwa sasa imeonekana kurudi katika trend, ikiwa kabila la Himba wao hutumia vitu vya asili kutengeneza nywele hizi kwa sasa trend hii wanatumia uzi na rasta kuitengeneza.

Tumewaona watu maarufu mbalimbali wakiwa wameweeka style hii ya nywele akiwepo stylist kutoka Tanzania Rosemary Kokuhilwa, muigizaji kutoka Nigeria Alex pamoja na stylist Toyin

Well let us know would you rock this style?

Related posts

2 Comments

  1. สมัครyehyeh

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/himba-tribe-hair-style-trend/ […]

  2. dtr

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/himba-tribe-hair-style-trend/ […]

Comments are closed.