SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

HIT OR MISS – FEATHER BROW TREND
Urembo

HIT OR MISS – FEATHER BROW TREND 

Urembo una mambo yake na kila siku mambo mapya yanaletwa na kwa sasa kinacho onekana kushika chat katika swala zima la urembo ni Fetaher Brow, Feather kwa kiswahili ni unyoya na brow ni nyusi hapo una pata idea ya nini kinacho ongelewa yaani nyusi zina chanwa katikati zinakuwa kama unyoya, make up artist Stella Siron alipost picha yake katika mtandao wa Instagramย  siku chache zilizo pita akiwa ana matumaini kwamba ame anzisha trend na well she did it as kwa sasa kila make up artist ana jaribu ku re create muonekano huu

View this post on Instagram

so i'm starting this new brow trend please recreate it and wear it everyday and dont forget to tag me like and subscribe and hit that bell button๐Ÿ””๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ‘Œ๐Ÿป ALL credits go to my muse @leevittu he came up with this whilst brushing my eyebrows last sunday brow: glue stick skin: @maccosmetics Face&Body foundation C1, @maccosmetics pro longwear concealer NW20, a lot of Fix+ for the wet effect highlight: @katvondbeauty Alchemist Palette (Emerald, Opal, Amethyst) eyeshadows: @lipsicosmetics lipstick on the lid and @maccosmetics matte lipsticks in Frosting and Matte Royal mixed for the inner&outer corners mascara: @maccosmetics in extreme dimension lash mascara in Hold For 10

A post shared by Stella Sironen (@stella.s.makeup) on

na hawa ni baadhi ya make up artist wengine walio jaribu muonekano huo

https://www.instagram.com/p/BSxh6yVgmTK/?taken-by=kelseemarie

Nyusi ni moja ya sehemu muhimu sana katika uso wako huwa zina beba uzito mkubwa sana, lakini pia ni sehemu ambayo you can have fun with.

Je wewe ni Team Fleek au Team Feather – brow?

Related posts

1 Comment

  1. bonanza178

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/hit-or-miss-feather-brow-trend/ […]

Leave a Reply