Kylie Jenner Ni mdogo wa mwisho wa kina Kim Kardashian kwa hii miezi michache amekua gumzo kubwa mitandaoni kwa kufanyia midomo yake operesheni na kua na mvuto Zaidi kiasi ambacho kuvutia mashabiki wake nao kufanya operesheni na wengine kujiuliza Je Unaweza kupata midomo yake bila kufanyia opresheni?
Jibu la hilo swali lime jibiwa na kylie mwenyewe baada ya kuamua kutengeneza vipodozi vya mdomo ambavyo vinaweza kukufanya upate midomo ya kuvutia kama yake.
Katika ukurasa wake wa Instagram Kylie aliweka picha yake akiwa amepaka rangi yam domo ya kahawia huku akiweka maelezo #kylielipkit stay tuned” Msemaji wake ameiambia Yahoo kuwa bidhaa yake ipo katika muendelezo wa utengenezaji.
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/huitaji-kufanya-operesheni-kupata-midomo-ya-kylie-jenner/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/huitaji-kufanya-operesheni-kupata-midomo-ya-kylie-jenner/ […]