SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Huwezi Kupata Ngozi Nzuri Kwakuwa Na Skincare Routine Tu
Urembo

Huwezi Kupata Ngozi Nzuri Kwakuwa Na Skincare Routine Tu 

Watu wengi wamekuwa wakipotea hapa, tunakesha kuuliza kuhusu skin care routine za wengine, tunakesha kutafuta vipodozi vizuri vya bei ghali, inawezekana tukapata hivyo vipodozi lakini bado ngozi zetu zikaendelea kuwa na hali mbaya, kwakuwa tunasahau kwamba skincare routine ni moja ya sehemu 3 za kupata ngozi nzuri. Tuna focus kwenye hii moja na kusahau nyingine.

 • Ukiachana na skincare routine unatakiwa kuangalia pia unachokula

Angalia unachoweka katika mwili wako, punguza kula sukari nyingi, chumvi na mafuta badala yake tumia vyakula vyenye sukari ndogo chumvi kiasi na mafuta kiasi bila kusahau kula matunda, na vyakula vyenye protini ya kutosha na vitamini na lishe iliyo na vitamini C nyingi hii nayo itakupa ngozi nzuri yenye kung’aa. Achana na vyakula vya kukaanga na ma-rost yenye spices nyingi badala yake kula blander foods such as rice, oatmeal and applesauce

 • Life Style

Ngozi yako haiwezi kuwa nzuri kama life style yako ni mbaya mfano, kunywa pombe mara kwa mara,uvutaji wa sigara, kutokufanya mazoezi na kutoa jasho mwilini, kutembea juani bila ya kupaka sunscreen, kutokunywa maji ya kutosha na kutokulala kwa muda unaotakiwa.

Well kama wewe ni mmoja wapo ambae unateseka kwa kutupa pesa kwenye vipodozi bila matokeo chanya jaribu kufuatilia lifestyle yako na chakula unachokula.

Related posts

4 Comments

 1. therapist new jersey

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/huwezi-kupata-ngozi-nzuri-kwakuwa-na-skincare-routine-tu/ […]

 2. สล็อตวอเลท ไม่มีขั้นต่ำ

  … [Trackback]

  […] There you can find 70221 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/huwezi-kupata-ngozi-nzuri-kwakuwa-na-skincare-routine-tu/ […]

 3. click for more

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/huwezi-kupata-ngozi-nzuri-kwakuwa-na-skincare-routine-tu/ […]

 4. บ้านมือสอง

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/huwezi-kupata-ngozi-nzuri-kwakuwa-na-skincare-routine-tu/ […]

Comments are closed.