Watu wengi hupata shida katika kuhifadhi urembo wao (hereni,mikufu,bangili,pete nk), una weza kukiona kimoja na kingine usikione. Mabingwa wa kutengeneza Jewerly kwa mikono waitwao Manyatta_101 wame tupa ideas rahisi zinazo weza kusaidia kuhifadhi urembo wako
IDEA NO. 1: unaweza kutumia mnyororo au mkufu kuifadhia hereni zako kama uonavyo hapo juu, kama una kabati una weza pigilia misumali ukaning’iniza mnyororo na kupanga hereni zako au hata ukutani na mlangoni
DEA NO. 2: . Buttons…. Yes vifungo… Can help you keep those stud earrings together at all times.
IDEA NO. 3: . Old cupcake baking tray for your rings, stud earrings, buttons, etc (unaweza kutumia trei ya kuokea cup cakes kama sehemu ya kuifadhi urembo wako)
IDEA NO. 4: . We are sure you have these at home. Now get healthy… Stop using ice cubes and start storing jewellery (vikopo vya kutengenezea barafu pia vinaweza kusaidia katika kuhifadhi urembo wako)
Haya jifunzeni kutoka kwa manyatta_101 una weza kuwafollow instagram pia ili kujua mengi @manyatta_101
Related posts
HOT TOPICS
The Hardest Part Of Being A Nigerian Bride Is To Comeup With A Bride Look That Wont Match With Any Of The Guest’s A… https://t.co/8vfNPS0IYg
FollowItaly Kumekucha Afromates #TheKardashian #TheKardashian wapo huko kwaajili ya the wedding of the year. Haya mnasubiri lo… https://t.co/kENoAG9RQg
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…