SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Irene Uwoya, Jacqueline Wolper & Mimi Mars In Rainbow Hair Do
Hair

Irene Uwoya, Jacqueline Wolper & Mimi Mars In Rainbow Hair Do 

Kama utakuwa umenotice the trending hair style kwa sasa ni Rainbow hair, Hii ni style ya nywele ambayo inakuwa na rangi moja kuu lakini ndani yake kuna rangi nyingine nyingine mchanganyiko, inaweza kuwa a wig, weave au hata natural hair inawezekana kufanya.

Tumeispot kwa watu maarufu wengi akiwepo Queen of colored hair Nicki Minaj ambapo ali perform katika 2018 Bet awards katika hair style hii, na tumemspot mara nyingi katika hair style hii.

Mwanamuziki kutoka Tanzania Mimi Mars tumemuona katika style hii ya nywele katika video ya wimbo wake mpya uitwao kodo, Mimi Mars ame debut hii hair do in a short gray & black ombre weave ndani yake ikiwa na rangi kama purple,pink na njano.

Wakati tumem-spot Irene uwoya yeye akiwa amevalia platnum blonde wig ambalo ndani yake lina rangi ya blue na pinkish kwa mbali, Irene tunaweza kusema anatoka sana kwenye comfort zone yake.

Na mwisho ni Jacqueline Wolper ambae yeye alihudhudhuria katika birthday ya Wema Sepetu akiwa ameweka hair style hio yeye rangi yake kuu ilikuwa kijani huku ndani yake kulikuwa na rangi ya purple na nyekundu

Tuambie kwako wewe utajaribu hii hair style au lah?

Related posts

2 Comments

  1. auto locksmith

    … [Trackback]

    […] Here you will find 74828 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/irene-uwoya-jacqueline-wolper-mimi-mars-in-rainbow-hair-do/ […]

  2. wapjig.com

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/irene-uwoya-jacqueline-wolper-mimi-mars-in-rainbow-hair-do/ […]

Comments are closed.