SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Is Manjano 24k Oil Free Compact Foundation Worthy Your Coins?
Product Review

Is Manjano 24k Oil Free Compact Foundation Worthy Your Coins? 

Katika suala la foundation tunazo Aina mbali mbali za foundation Kama vile Liquid foundation, Cream foundation, powder foundation na nyinginezo nyingi.

Kwa Leo naomba kuongelea kuhusu “compact foundation” kwa kutazama foundation kutoka kwa dada Shekha ambayo Ni “manjano 24k Oil free Compact Foundation”

Kitu kimoja Cha kuelewa kwa foundation hii Ni “oil free” Ni nzuri Sana kwa mtu mwenye ngozi ya mafuta.
Kwa wanawake wenye ngozi za mafuta Ni vyema zaidi kuepuka foundation ambazo zinakuwa na mafuta mengi, au kusoma na kutambua kwamba kitu wanachopaka kipo sawasawa na Aina ya ngozi walizonazo.

Naweza kuielezea manjano foundation kuwa noD nzuri Sana kwa mtu mwenye ngozi ya mafuta sababu, Ni oil free, itakaa muda mrefu bila kuchuja.

Namna Inavyo Fanya Kazi

  • Love touch compact foundation natumika kiasi kidogo lakini inacoverage kubwa katika ngozi, kwa uso wenye madoa ni 👌 perfect inaficha madoa yote.
  • kama ilivyofaida ya manjano ambayo Ni moja Kati ya bidhaa zilizotumika, inakinga nzuri dhidi ya mionzi ya jua
  • sio nzito usoni, Ni nyepesi kabisa na free hata kutembea nayo juani.
  • inaleta rangi nzuri usoni yenye unjano fulani mzuri sana
  • Wakati wa kutoa huwa haisumbui, sababu unatumia kiasi kidogo tu, na kufanya zoezi la kutoa makeup yako kuwa rahisi kabisa (stress free).

Hii oil free foundation “love touch manjano” inasaidia kutokuongeza mafuta ya ziada ambayo hayakuwa yanatakiwa usoni (kwenye ngozi), kwa hiyo inafaa kutumiwa pia kwa wenye combo skin au Oil skin.

Inapatikana katika rangi 10 tofauti kulingana na ngozi yako, yaani kuanzia mtu mweupe sana mpaka mwenye ngozi ya Rich Chocolate. Available at Leading Pharmacies, Perfumeries, Supermarkets and all Shear illusions stores. .

Tumeuliza Is manjano 24k Oil free Compact Foundation worthy your coins? Kwa review aliyotupa Tunu we can say Yes, Sis Chop it.

Bidhaa imekuwa reviewed na make up artist @tunu_designs

Related posts