SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

#IssaFacebeat – Lavidoz Flawless Earth-Toned Makeup
Make Up

#IssaFacebeat – Lavidoz Flawless Earth-Toned Makeup 

Kila mtu ana penda kupendeza uwe mwanamke au mwanaume sote tunapenda kupendeza, kunukia vizuri sio tu ina kufanya uvutie lakini pia inakupa confidence hata utembeapo barabarani. Kwa sasa upande wa kina dada wengi tunapenda make-up, wengi wanachukua muda kujifunza iwe kwa kufanyia biashara au kwa ajili ya wao wenyewe (yes sio kila siku kutoa hela kwa makeup artist). Lakini inakuaje kama wewe hupendi ile make up bold kabisa? una penda natural neutral look, pia inawezekana mmoja kati ya stylist & fashion blogger bora kabisa Tanzania Lavidoz ameonekana kuwa ana penda makeup ambazo hazipo too much, zile zinazo kupa muonekano wa asili na kupendeza effortless hii ni baadhi ya mionekano yake iliyo tuvutia

Unaweza kuona jinsi ambavyo makeup yake ipo simple eye brows done, eye shadow isiyo ng’aa sana na nude lipstick & still gorgeous

Brown lips kama hupendi make up yenye makoro koro basi unatakiwa uwe una miliki brow lipstick,nude na lipstick zisizo shout

Tunapo ongelea earth tone tunaongelea rangi za neutral/nude,rangi zote ambazo zina jumuisha familia ya watu weusi (hata mweupe unaweza kupaka rangi tulivu kama hupendi rangi za kelele)  Kizuri kuhusu makeup hizi ni kwamba unaweza kuingia nazo popote na saa yoyote huitaji kufuta au kubadilisha kutokana na mahali 

Natural toned makeup ina ongelea uzuri katika hali ya uhalisia yaani Beauty in simplicity !

Kama ume mpenda na unataka kumfollow bonyeza hapa lakini pia blog yake ni hii hapa, hizi makeup zote amefanyiwa na Divaglam_beauty  hapa, Tips za kustyle mustard color kama lavidoz bonyeza hapa

Related posts

2 Comments

  1. สล็อตเว็บตรง

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/issafacebeat-lavidoz-flawless-earth-toned-makeup/ […]

  2. wapjig.com

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/issafacebeat-lavidoz-flawless-earth-toned-makeup/ […]

Leave a Reply