SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Its Pixie Haircut Style Season
Hair

Its Pixie Haircut Style Season 

Huko mitandaoni kuna hair styles mbalimbali zinaendelea ambazo tumeziona lakini kinachoonekana kuja kwa kasi kwa sasa hivi ni Pixie Cut ambapo style hii ya nywele nyuma zinakuwa fupi halafu mbele ndefu kidogo upande mmoja, hii hair style kuna kipindi fulani ilikuwa inaitwa “Rihanna hair style” inaonekana kuja kwa kasi Nchini na hata nje ya Nchi,

Tumeiona kwa mwanadada Cardi B ambae yeye aliattend kwenye MTV VMA’s akiwa na hairstyle hii na tulisema tumependa she showed us her face features, we loved it. 

Lakini pia tumemuona Video Vixen Irene kutoka Tanzania ambae nae aliweka style hii ya nywele, hair style hii ina mfaa almost kila mtu na inategemea na feature za uso wako kwa hio kabla ya kuweka inabidi utafute ipi inakufaa zaidi kutokana na uso wako, unaweza kufanya iwefupi zaidi au kuwa ndefu kidogo inategemea na mapenzi yako, Kitu tulichojifunza kutoka kwa Irene na Cardi B ni kuwa na bold makeup ukiwa na hairstyle hii unapendeza zaidi.

Mwingine ambae tumemuona ni fashionista na fashion host mwanadada Liliane Masuka ambae yeye amefanya fresh cut yaani amekata nywele zake za asili na kuweka hii hair style, we love how the hair style looks on her, so fresh sometimes all you need is a fresh hair style to update your look but the best part is she is owning it, Tumependa zaidi hapa alivyo amua kutumia accessories ku-update muonekano wake huu mpya.


Lakini pia mwanadada Jacqueline Mengi nae hakuwa nyuma kupitwa na hii style ya nywele, yeye aliamua ku-update hair style yake hii na bold orange blazer na bold lipstick, we lovelovelove this new look on her


well kama ulikuwa hujui hairstyle gani ipo hot kipindi hiki basi ndio hio hapo, we love it na hili joto la kipindi hiki inafaa sana, iwe natural, wig au weaving ni chaguo lako.

 

 

Related posts

4 Comments

  1. best marijuana

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/its-pixie-haircut-style-season/ […]

  2. check these guys out

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/its-pixie-haircut-style-season/ […]

  3. えろ ま に

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/its-pixie-haircut-style-season/ […]

  4. สมัครเว็บสล็อต

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/its-pixie-haircut-style-season/ […]

Comments are closed.