SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Jacqueline Mengi Alivyo Style Miwani Hii Ya Gucci Yenye Thamani Ya 1,416,080/-
Urembo

Jacqueline Mengi Alivyo Style Miwani Hii Ya Gucci Yenye Thamani Ya 1,416,080/- 

Ukiongelea moja ya vitu muhimu katika sekta nzima ya urembo basi lazima useme miwani, sio tu husaidia kulinda macho yetu bali pia ni moja kati ya urembo ambao unaweza kubeba mtoko wako, well leo Mrs Mengi ame step out akiwa amevaa a blue shirt dress, gold pumps na black handbag lakini kilicho tuvutia zaidi na kuweka statement katika mtoko wake ni hii Gucci L’Aveugle Par Amour Round Sunglasses ambayo inauzwa $620 sawa na 1,416,080/- za Kitanzania.

Jacqueline anapenda kuvaa vitu vyenye thamani hasa zile brands kubwa tumesha muona akiwa amevalia mavazi mbalimbali yenye thamani kubwa,

well katika blog ya gucci kuna rangi mbili ambazo ni nyeusi na orange acetate.

 

Hatujajua kama hii nyeupe ni sold out au ni version nyingine ya hizi sunglasses lakini unaweza kuzipata hapa tumeona wanauza hizi nyeupe kwa $585 ambayo ni sawa na 1,338,363/-

Related posts

2 Comments

  1. DMT Vape Cartridge for sale Melbourne

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/jacqueline-mengi-alivyo-style-miwani-hii-ya-gicci-yenye-thamani-ya-1416080/ […]

  2. 뉴토끼

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/jacqueline-mengi-alivyo-style-miwani-hii-ya-gicci-yenye-thamani-ya-1416080/ […]

Comments are closed.