Sote tunazile siku ambazo tunaona tunahitaji kupumzisha kichwa na ma-wig na weaving’s na kuamua kusuka tu simple hair style, well week hii tumewaona mwanadada Rihanna pamoja na Jacqueline Mengi wameamua kutupilia mbali wigs na weaving’s zao na kuamua kusuka minyoosho, lakini tulichopenda zaidi ni namna walivyo upgrade mtindo huu wa nywele ambao wengi huwa tunauchukulia kawaida.
Jacqueline yeye amesuka nywele zake za twende kilioni kubwa kubwa huku kunyanyua muonekano wa nywele zake, akapaka na makeup nzuri ambayo ilikuwa na bold red lipstick akamalizia muonekano wake na pearl accessories, wakati akiwa ame-make statement na fur coat, we always say kama kuna kitu kimepungua jaribu kuondoa attention sehemu hio na peleka kwingine kama ambavyo Jacqueline amefanya.
Rihanna yeye twende kilioni zake kidogo zilikuwa ndogo ndogo kuliko za Jacqueline, yeye aliamua kupaka simple makeup wakati aliondoa attention kwenye nywele kwa kuvaa chandelier earrings, we loved this new look on her.
Okay afromates next time unamtoko na umesuka twende kilioni usi-cancel kwenda kuwa creative katika mavazi yako upendeze, watu watasahau kuhusu nywele na ku-concentrate on mavazi yako
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…