SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Janet Jackson Avaa Urembo Wa Shanga Katika Billboard Music Awards
Urembo

Janet Jackson Avaa Urembo Wa Shanga Katika Billboard Music Awards 

Janet Jackson amerudi tena katika muziki baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu kutokana na Ndoa na mtoto, hivi karibuni Janet ametengana na mumewe na ameamua kurudi kufanya kile ambacho anakipenda yaani career yake ya muziki. Janet ni moja kati ya fitted and stylish women ambao tunawajua, her body is goals na ana style za mavazi za kipekee.

Usiku wa kuamkia jana kulikua na hafla iitwayo Billboards Music Awards ambapo Janet ali-perform lakini pia alipokea tuzo ya heshima ya Icon Award Honaree, Well katika performance yake hio ndipo tulipo notice kwamba Janet Jackson amechagua  kuvaa urembo wa shanga

Shanga ni moja kati ya urembo ambao unapatikana Africa na tulisha wahi kuandika jinsi ambavyo unarudi kwa kwasi urembo huu, kwa hapa kwetu Tanzania urembo huu unatengenezwa na wamasai wao ndio mara nyingi wanauza hizi shanga.

Well Janet yeye aliamua kuchanganya urembo huu wa asili na modern cloth ambapo alivaa sparkling gold sweatshirt dress na shiny gold thigh-high shoe’s

We love jinsi ambavyo ame style mavazi yake na urembo huu na ni matumaini yetu tutaona wengine wakifuatisha

 

Related posts

3 Comments

  1. see this website

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/janet-jackson-avaa-urembo-wa-shanga-katika-billboard-music-awards/ […]

  2. wapjig.com

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/janet-jackson-avaa-urembo-wa-shanga-katika-billboard-music-awards/ […]

  3. Anabole Steroide Kaufen

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/janet-jackson-avaa-urembo-wa-shanga-katika-billboard-music-awards/ […]

Comments are closed.