SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Jaza Na Rudisha Nywele Zilizokatika Kwa Kutumia Mayonnaise
Hair

Jaza Na Rudisha Nywele Zilizokatika Kwa Kutumia Mayonnaise 

Leo hii kwenye safu ya urembo tutaongelea jinsi ya kujaza nywele kwa kutumia mayonnaise hasa kwa wale wenye nywele zinazokatika mbele.

Mayonnaise ina uwezo mkubwa wa kuotesha nywele zako zinazokatika lakini pia ina uwezo wa kujaza nywele ambazo ni chache kichwani.Kama utafanikiwa kupata kwa wingi tumia kwa wiki mara mbili utafurahia ujazo wa nywele zako.

Faida za mayonnaise

 • ina kila kiungo ambacho kina faa kwa ajili ya nywele kama mayai,vinegar,mafuta etc.
 • Vinegar iliyopo katika mayonnaise itasaidia kusafisha ngozi ya kichwa na ku restore ph balance
 • mafuta yatasaidia ku- mosturize nywele zako na kuzipa mng’aro na kuzifanya ziwe soft

Namna ya kufanya

 • Osha nywele zako kwa shampoo nzuri ambayo unajua haikati nywele baada ya hapo usizikaushe zikiwa na maji bado zipake mayonnaise kuanzia chini kwenye ngozi kisha zichanganye nywele zote.
 • Acha kwa muda wa dakika 15 kisha osha kwa kutumia maji na shampoo tena.

Related posts

2 Comments

 1. แทงบอล

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/jaza-na-rudisha-nywele-zilizokatika-kwa-kutumia-mayonnaise/ […]

 2. สล็อตเว็บตรงไม่มีขั้นต่ำ

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/jaza-na-rudisha-nywele-zilizokatika-kwa-kutumia-mayonnaise/ […]

Comments are closed.