SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Je Kahawa Inasababisha Chunusi?
Urembo

Je Kahawa Inasababisha Chunusi? 

Kahawa ni energy booster iwe unafanyakazi ofisini, uwe ni mama wa nyumbani sote tunahitaji kahawa kuamsha mwili wetu na kuendelea na kazi zetu za kilasiku. Well tulishawahi kusikia kwamba kahawa husababisha chunusi je ni kweli?

“Jibu ni kwamba kahawa haisababishi chunusi, lakini kunywa kahawa mara kwa mara kunaweza kusababisha zile chunusi ulizonazo kuzidi zaidi”

Ni vipi basi kahawa inaweza kuzidisha chunusi?

 • Unapo kunywa kahawa unatumia sukari nyingi na maziwa ili kupunguza ukali wake, hii hupelekea kuwa na intake kubwa ya maziwa na sukari ambavyo ni visababishi vikubwa vya chunusi, unapokunywa sukari nyingi unaongeza insulin ambayo ni chanzo kikubwa cha chunusi.
 • Unywaji wa kahawa inasemakana unaongeza stress & anxiety, ambazo nazo zinaweza kusababisha chunusi usoni mwako ambapo stress husababisha ongezeko la cortisol ambayo husababisha excess oil kwenye ngozi yako. Athari Za Msongo Wa Mawazo Katika Muonekano Wako
 • Kahawa husababisha ukosefu wa usingizi ambao pia unaweza kusababisha chunusi katika ngozi yako. Jinsi Ya Kuboresha Urembo Wako

Kama unachunusi ambazo unaona kila unachotumia hakisaidii na wewe ni mnywaji mkubwa wa kahawa au unakula sana sukari na maziwa, jaribu kupunguza kutumia vitu hivi kwa muda na uangalie matokeo yake yatakuwaje.

Related posts

3 Comments

 1. Web Site

  … [Trackback]

  […] Here you will find 48259 more Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/je-kahawa-inasababisha-chunusi/ […]

 2. 방콕 마사지

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/je-kahawa-inasababisha-chunusi/ […]

 3. 늑대닷컴

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/je-kahawa-inasababisha-chunusi/ […]

Comments are closed.