Well mwaka 2018 trend ya kuosha nywele kwa kutumia kinywaji cha champagne iliingia sana ambapo tulimuona Instagram star Madina Shrienzada akiwa anaosha nywele zake kwa kutumia Champagne na kwa kunukuu alisema ” IY SHINY 😻HAIR🥂USING CHAMPAGNE 🥂 TO RINSE YOUR HAIR! 🎂Sooo I TESTED THIS THE 👑OTHER DAY TO SEE IF IT WORKS AND HONESTLY IT GAVE MY HAIR AN EXTRA LITTLE VAMP OF SHINE ❤️ & TAMED SOME FRIZZ I’ll give this 8/10. I THINK ITS JUST A FUN LITTLE WAY OF DOING THIS ON A GIRLS NIGHT💄💁🏻♀️🙆🏻♀️❌DON’T FORGET TO FOLLOW ME FOR MORE TIPS AND TRICKS 🔥🔥🔥

Hivi karibuni tumemuona fashionista kutoka Tanzania Sishkikii ambae nae alisema anatumia champagne kuoshea wigs zake ambapo yeye alitoa kama hair tip kwa wale ambao walikua wakimuuliza namna ambavyo anajali wigs zake huku akisema yeye huoshea wigs zake kwa kutumia champagne au sparkling wine na kwamba njia hizo ni Best moisture retention.
View this post on InstagramA post shared by SISHKIKI (@sishkikii) on
Swali Je Ni Kweli Champagne Inasaidia Katika Nywele?
Kutoka kwa wadau na watu maarufu mbalimbali wamesema kwamba ni kweli champagne ni namna nzuri ya kutunza nywele zako iwe wig au nywele za asili kwamba sio tu inafanya nywele kung’aa bali pia kuifanya iwe soft na kuiongezea volume. Haya nii baadhi ya maoni ya watu maarufu hao
- “Champagne has very powerful antioxidants, which protects against free-radical damage and promotes so much softness and so much shine” says Rachel Katzman, founder of Cuvée Beauty “
- Diana Vreeland in a 2010 Harper’s Bazaar, “Why don’t you rinse your blond child’s hair in dead champagne to keep it gold, as they do in France?”
- Hairstylist Kyle White. “Comb freshly opened champagne through damp hair, work the champagne through the hair gently with your fingers and rinse out thoroughly,”
Well Afromates utajaribu hii dondoo au utaachia rich people?
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/je-ni-sawa-kuosha-wig-lako-kutumia-champagne/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/je-ni-sawa-kuosha-wig-lako-kutumia-champagne/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/je-ni-sawa-kuosha-wig-lako-kutumia-champagne/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/je-ni-sawa-kuosha-wig-lako-kutumia-champagne/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/je-ni-sawa-kuosha-wig-lako-kutumia-champagne/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 83628 more Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/je-ni-sawa-kuosha-wig-lako-kutumia-champagne/ […]