SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Je Ni Sawa Kwa Mwanaume Kupaka Henna?
Urembo

Je Ni Sawa Kwa Mwanaume Kupaka Henna? 

Tumezoea kuona wanawake tu wakiwa ndani ya michoro ya henna ambapo kwa wanaume huwa tunawaona wachache ambao hata hao wachache huwa wanapaka kwenye kucha na vidole vichache tu.

Lakini imekuwa tofauti kidogo kwa Mwanamziki Mbosso kutoka Tanzania na Jidenna kutoka Nigeria ambao wao walienda extra na kupaka michoro ya henna viganjani mwao kama ambavyo wanawake huwa wanafanya.

Well hakuna sehemu imeandikwa si sawa au ni sawa kwa mwanaume kupaka michoro hii lakini pia uliwengu wa sasa kila kitu ni unisex. Na tunaweza kusema labda kulikuwa na ulizima wa michoro hio katika kazi zao na wakaona hawawezi kuchora permanent tattoo wakaamua kuchora Henna ambayo inatoka baada ya muda fulani.

Well Afromates kama hii ni new trend je ni sawa au si sawa kwa mwanaume kuchora henna? tupe maoni yako kupitia box la maoni hapo chini.

Related posts