SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Je Unajua Nywele Yako Ni Ya Aina Gani?
Hair

Je Unajua Nywele Yako Ni Ya Aina Gani? 

Dear hair lovers katika utunzaji wa nywele yako ni vizuri kujua aina ya nywele yako kwakua utunzaji wa kila type ni tofauti, Zipo aina 4 za nywele na hiz ni Straight, Wavy, Curly na Kinky au unaweza pia ukaziita type 1,2,3 na 4

Kwa watu wa nje kama nchi za Asia,Ulaya wengi waangukia type 1,2,3, na pia sisi wa Africa wengne wana type 3 na wengne ni type 4 kujua aina ya nywele inatokana na tabia ya kila nywele kwakua tabia za nywele ya type 2 haiwez kua same na tabia ya nywele ya type 4 hata utunzaji wake ni tofaut.

  • Leo napenda kuongelea kuhus type 4 na hii ndio  kinky hair na iko grouped kama type 4A, 4B, 4C
  • 4A ni nywele yenye coils zimebana sana na pia inacurly  yenye S pattern kwasisi huku tuna sema nywele za singa singa zinakua laini zikitunzwa.
  • 4B inaless curly pattern mara nying utaiona ikiwa na curly pattern pale ikipata maji /unyevunyevu hizi nywele ni zile uwa zinakua lain na hazijifungi sana kwakua ina loose curly pattern.
  • Kuna wengne zinakua chache na wengne ni nying za kujaa.
  • Zinatabia ya kushrink na kuonekana fupi kumbe ni ndefu
  • 4C hii ni nywele pia ni nywele ambayo inacoils zimebana pia kias kwamba inatabia ya kujifunga sana

Kwa huku kwetu wanaiita nywele ya kipilipili ,inatabia ya kushrink na kuonekana fupi pia wakat ni ndefu 

Utajuaje Nywele Yako Ni Ya Aina Gani

Hair porosity ni uwezo wa nywele yako kunyonya na kutunza unyevu (moisture) katika nywele yako (Ability of your hair to observe and retain moisture).

Kwa wapenda nywele wote ni vizur kujua hair porosity ya nywele yako kwakua kila porosity ina tabia yake na hapa ndio utajua sio kila mafuta yanafaa kwa nywele yako ni kutokana na hair pores kwenye nywele yako namna zinavyofunguka na kufunga.

Na zipo aina 3 za hair porosity low porosity, medium porosity and high porosity.

hair type quiz for black hair Pretty How to care for low medium and high porosity hair Plus
  • Low porosity maana yake pores zake ziko tite zimebana  kwahyo inanyonya unyevu taratibu lakin pia ina uwezo wa kutunza unyevu kwa mda mrefu na pia ina protein nying.
  • Medium porosity  hair ina moderate hair pores inanyonya na kutunza moisture kwa kipimo kizuri na pia protein yake iko balanced.
  • High porosity maana yake maana yake hair pores ziko wazi inapokea unyevu haraka na kuondoka haraka hii pia haina balanced protein katika nywele yake inahitaji protein zaidi

Imeandaliwa na kuandikwa na @letsgonatural


Related posts