SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Je Unapaka Sunscreen Kabla Au Baada Ya Moisturizer?
Urembo

Je Unapaka Sunscreen Kabla Au Baada Ya Moisturizer? 

Swala la kupaka sunscreen limekuwa swala kubwa sana kwasasa Nchini kwetu na hii inatokana na kwamba hiki ni kitu kipya kidogo kwetu. Wengi tunazo kwasasa na wafanyabiashara wa urembo wengi wamekuwa wakiziongelea na kuziuza. Tulishatoa tips mbalimbali kuhusu umuhimu wa kupaka sunscreen

lakini hivi karibuni tulipokea swali la Je hii sunscreen inapakwa baada au kabla ya kupaka moisturizer?

Jibu ni inategemea na aina gani ya sunscreen unayoitumia

Kama Unatumia Chemical Sunscreen, basi ni vyema ukaipaka kabla ya moisturizer kwasababu aina hii ya sunscreen inahitaji kuingia kwenye ngozi ilikuipa ulinzi / kufanya kazi vizuri zaidi

Lakini kama unatumia physical sunscreen (pia inajulikana kama mineral sunscreen) basi unatakiwa kuipaka baada ya moisturizer kwasababu Sunscreen hizi hutengenezwa na viungo vya madini, ambayo hukaa juu ya ngozi. Hii ina maana kwamba sunscreen na viungo vyake kamwe haziwezikupenya kwenye ngozi ili kufanya kazi yake. Badala yake, mhuunda kizuizi kati ya ngozi na mionzi hatari ya UV, Kwa sababu hizi, mineral suncreen huchukuliwa kuwa salama zaidi

Related posts

4 Comments

  1. Double Cup 1.2g Wax Infused Pre-Roll

    … [Trackback]

    […] There you will find 16546 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/je-unapaka-sunscreen-kabla-au-baada-ya-moisturizer/ […]

  2. Bubble Tea

    … [Trackback]

    […] Here you will find 20135 more Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/je-unapaka-sunscreen-kabla-au-baada-ya-moisturizer/ […]

  3. 다시보기

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/je-unapaka-sunscreen-kabla-au-baada-ya-moisturizer/ […]

  4. buy Dysport 500U

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/je-unapaka-sunscreen-kabla-au-baada-ya-moisturizer/ […]

Comments are closed.