Umeshawahi kujiuliza kwanini cream ambayo wengine wengi wanaisifia lakini kwako haifanyi kazi? Umeshawahi kufikiria labda huitumii kwa muda unaotakiwa? ( Muda sahihi). Kujua ni bidhaa gani inafaa kutumia katika ngozi yako ni jambo moja ambalo wengi huwa tunalitilia maanani lakini huwa tunasahau kuuliza ni muda upi sahihi wa kutumia vipodozi hivi?
ngozi inafuata mzunguko wa asili wa saa 24, unaoathiriwa na viwango vya homoni,mazingira, hali ya hewa, mwanga wa jua, usiku ambapo huzaliwa upya seli za ngozi.

“Tafiti zinaonyesha kuwa ngozi hujirekebisha kwa ufanisi zaidi kati ya saa nne-usiku kwa hivyo unapaswa kupaka mafuta yako usiku kabla ya hapo. Miili yetu hujirekebisha kiwango cha seli tunapolala kwa hivyo unatakiwa kuokoa bidhaa zako zenye nguvu nyingi za kuzuia kuzeeka na retinoids kwa nyakati za usiku kwani bidhaa hizi hudhoofika kwenye jua na kusababisha zisifanye kazi vyema. Hebu tufuatilie mzunguko wa kila saa ili kupata nyakati bora zaidi za kupaka seramu yako.
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you will find 7661 additional Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/je-upi-ni-muda-mzuri-wa-kutumia-vipodozi-vya-ngozi/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/je-upi-ni-muda-mzuri-wa-kutumia-vipodozi-vya-ngozi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/je-upi-ni-muda-mzuri-wa-kutumia-vipodozi-vya-ngozi/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/je-upi-ni-muda-mzuri-wa-kutumia-vipodozi-vya-ngozi/ […]