SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

JIFUNZE KUPAKA EYE LINER (BIGGINERS)
Make Up

JIFUNZE KUPAKA EYE LINER (BIGGINERS) 

Kabla ya kuanza kupaka eyeliner yako ni vyema kujua  baadhi ya mambo ya msingi. Ni aina gani ya eyeliner ni rahisi kutumia je ni eyeliner ya  gel, maji au kalamu. 

Pia wengi hupata tatizo katika mikono mara nyingi eye liner zina kaa vibaya kwa sababu ya kutingishika kwa mkono ili kuepuka swala hili ina faa ukaweka kifuti (elbow)  chako cha mkono juu ya meza hii ni mbinu nzuri kwa wanao anza kujifunza kupaka make up. ili kuendelea kupata matokeo mazuri ya eye liner/ make up zako ni vizuri kufanya mazoezi mara kwa mara,Hakuna anayeweza kamilifu bila mazoezi

Eye Liner ya Kalamu: Ni nzuri kwa wanao anza ni rahisi kutumia

jinsi ya kupaka kutumia eyeliner ya kalamu/pencil – sogeza eyeliner yako kutoka kona ya ndani ya jicho mpaka nje karibu na nyusi, jaribu kufanya eyeliner yako iwe karibu na nyusi uwezavyo na pia huku mbele kuwe kunene na mwisho karibu na nyusi pawe pembamba.

Angalia video hapo chini kujifunza zaidi.

 

Related posts

2 Comments

  1. golden teacher mushroom zucchini,

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/jifunze-kupaka-eye-liner-bigginers/ […]

  2. 예능 다시보기

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/jifunze-kupaka-eye-liner-bigginers/ […]

Leave a Reply