SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Jifunze Natural Hair Care & Tips Kutoka Kwa Natural Hair Tanzania
One on One

Jifunze Natural Hair Care & Tips Kutoka Kwa Natural Hair Tanzania 

Kuwa kiasili ndio trend kwa sasa ambapo muda umefika sisi kama wa Africa na hata ambao sio wa Africa tumeamua Kupenda Asili yetu, iwe kuwa na Natural hair, kuvaa mavazi ya kiasili au kutunza ngozi zetu za asili bila kujichubua au kuongeza makemikali, miaka hii ya karibuni tumejifunza kujipenda vile tulivyo kwa sababu kila kitu kina uzuri ndani yake. Mwaka jana kuvaa kiasili ili trend zaidi lakini mwaka huu inaonekana muamko na nywele za asili umekua mkubwa, kwa kuliona hilo tume mtafuta natural hair consultant kutoka Tanzania ambae tumeweza kuchukua mawili matatu kutoka kwake. Anaitwa Addidah wengi tunamjua kupitia page yake iitwayo @naturalhair_tanzania Instagram

Afroswagga –  Kuwa na nywele asili kuna maanisha nini kwako?

Addidah – Having natural hair means you embrace who you are  maana tumezaliwa na nywele za asili unakuwa free na  heat and chemical relaxers. Yani unajikubali wewe km wewe.

Afroswagga – Wengi huwa wana weka dawa nywele kutokana na nywele za asili za kiafrica kuwa ngumu kama natural hair consultant una weza kutuambia nini cha kufanya nywele zetu za asili zisiwe ngumu?

Addidah – wengi huwa wanaweka dawa kwa kisingizo cha nywele za kiafrika kuwa ngumu Ila ukweli ni kwamba wengi wetu hatujui matunzo sahihi ya nywele zetu, nywele zetu sio ngumu isipokuwa ni kavu sana na ni rahisi kukatika kinachotakiwa ni kujifunza jinsi ya kuzifanya zisiwe kavu kwa kuziongeza unyevu hasa maji, nywele zetu ni kama maua zinahitaji sana maji ili zikue.

Afroswagga –  vipi mtu anaweza kutunza nywele zake za asili ziwe na afya?

Adiddah – .mtu anaweza kutunza nywele za asili ziwe na afya kwanza kwa kuacha kabisa kutumia chemicals hasa dawa za kuzibadirisha kutoka kwenye uharisia wake, pia kutumia mara kwa mara matumizi ya moto kwa sababu unapotumia moto unaunguza Ile protein iliyopo kwenye nywele zetu na pia unahitaji products ambazo hazina fragrance,parabens na mineral oils unaweza ukagoogle ingredients ambazo hazitakiwi kwenye products za nywele ukaziona kwa hiyo utakachofanya wewe ukinunua products unasoma tu sehemu iliyoandikwa ingredients.

Afroswagga –  Tutajie Essential product naturista ana takiwa kuwa nazo

Addidah – essential products ambazo mtu anatakiwa kuwa nazo ni 1.shampoo , 2.leave in conditioner , 3. Hair masque /deep treatments na mafuta ya maji (coconut au olive )

Afroswagga -Kama ungepewa nafasi ya kuchagua nywele asili za mtu maarufu unge chagua nywele za nani na kwanini?

Adiddah – .ningepewa nafasi ya kuchagua nywele za may maarufu ningechagua za @cravingyellow huyu dada ni mkenya  lakini ameprove kwamba nywele zetu za kiafrika zinaweza kurefuka urefu ule uutakao halafu sina afya pia.

Afroswagga  -Tutajie products tatu ambazo wewe unaziaminia katika kukuza na kutunza nywele za asili?

Addidah – products 3 ambazo naziaminia kwanza huwa napenda nywele zangu ziwe na unyevu muda wote so ya kwanza Shea moisture law Shea hair masque, shea moisture coconut curling smooth na Shea moisture coconut co wash.

Afroswagga- Natural hair product zipo expensive kidogo unaweza kututajia tips ambazo tunaweza kutumia kupunguza matumizi ya pesa kwenye products?

Addidah – unaweza kupunguza matumizi ya pesa kwa natural hair products kwanza products nyingi za nywele zipo jikoni kuanzia kwenye kuongeza unyevu waweza tumia asali, ndizi , parachichi au aloevera juice kwenye kuosha waweza tumia Apple cider vinegar au baking soda pia ukanunua vitu kama mafuta supermarket utapata mengi na kwa bei rahisi.

Afroswagga-kuna style tumeiona imeingia kwa sasa naturista wana curly nywele zao na ile sponge swali je haikati au kuharibu nywele?

Addidah – kila kitu ukikitumia vibaya lazima kiwe na madhara , sponge haikati nywele Ila kama utatumia kwenye nywele kavu lazima nywele zitakatika. Hivyo ni lazima uhakikishe umemoisture nywele ndio utumie sponge nywele zetu zinahitaji kubembelezwa sana.

Afroswagga- accounts zako pendwa ulizo zifollow Instagram/Snapchat

Addidah – account ninazopenda insta ya 1. @leylat2 maana napata tips nyingi za nywele 2.@afroswaga napenda tips za mavazi /urembo n.k so lazima nipitie kupata tips mbili tatu na 3 .ni ya @cravingyellow napenda tu kuziangalia nywele zake na kujifunza zaidi kuhusu nywele.

Afroswagga- Kama natural hair consultant una washauri nini wa Tanzania na jamii kwa ujumla kuhusu natural hair?

Addidah – ushauri wangu kwa jamii na kwa watanzania wenzangu ni kwanza kuwa na nywele za asili inakufanya kujifunza mengi kuhusu nywele kama mimi mwanzo nywele zangu zilivyokuwa relaxed nilikuwa sijui hata leave in ni nini lakini sasa hivi najua mambo mengi kuhusu nywele za asili nilikuwa nafanya kama hodi lakini sasa hivi imekuwa carrier na napenda ninachokifanya,  pia kunakufanya ujiamini na ujitambue mwisho it’s just hair fanya kile moyo wako unataka unaweza kuwa na nywele zenye dawa na u kazitunza vizuri tu. Usiwe na nywele za asili lakini ukawa unazichukia maana watu wengi nakutana nao au wananitumia msg kuwa hawapendi nywele zao jinsi zinavyoshrink.

Ni matumaini yetu mmeweza kupata mawili matatu kutoka kwa Addidah kumpata Insatgram @naturalhair_tanzania 

Related posts

7 Comments

  1. คาสิโนออนไลน์

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/jifunze-natural-hair-care-tips-kutoka-kwa-natural-hair-tanzania-13026/ […]

  2. automation testing

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/jifunze-natural-hair-care-tips-kutoka-kwa-natural-hair-tanzania-13026/ […]

  3. weed in riga

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/jifunze-natural-hair-care-tips-kutoka-kwa-natural-hair-tanzania-13026/ […]

  4. unicc

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/jifunze-natural-hair-care-tips-kutoka-kwa-natural-hair-tanzania-13026/ […]

  5. vigrx plus

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/jifunze-natural-hair-care-tips-kutoka-kwa-natural-hair-tanzania-13026/ […]

  6. about his

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/jifunze-natural-hair-care-tips-kutoka-kwa-natural-hair-tanzania-13026/ […]

  7. spin238

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/jifunze-natural-hair-care-tips-kutoka-kwa-natural-hair-tanzania-13026/ […]

Leave a Reply