SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

JIFUNZE UMBO LA KOLA NA MKUFU WA KUVALIA
How to Rock

JIFUNZE UMBO LA KOLA NA MKUFU WA KUVALIA 

Urembo ni kama kachumbari katika mavazi, mkufu unavo uvaa una upa muonekano wako wa juu kuonekana mzuri zaidi hata kama mavazi yako si mazuri sana lakini ukiuvaa vibaya una haribu muonekano mzima hata kama nguo yako ni nzuri.

hizi ni baadhi ya namna chache ambazo unatakiwa kuvaa mkufu wa aina gani kutokana na kola ya nguo uliyo ivaa, kuna wengine ambao wazuri katika urembo na wengine ambao hupata shida katika maamuzi yao jifunze hapa:

KOLA YA V,

v-neckline-1

1) Vaa mkufu unao fuata ile V uwe mrefu au mfupi sawa tu

v-neckline-2

2) Vaa mkufu wenye shanga nene au vito vikubwa vikubwa kama inavyo onekana pichani

KOLA YA MRABA

1) Mkufu wenye mfupi unao zunguka juu kidogo ya shingo yako ni chaguo sahihi

square-neckline-1

2) Mkufu wenye vito vichache kimoja au viwili ni chaguo lingine pia

square-neckline-2

KOLA YA DUARA

1) Mkufu mrefu uwe na urembo au sio urembo utapendeza

round-neck-1 round-neck-2

KOLA YA MKONO MMOJA

1)mkufu wenye kubana shingo (choker necklace)

one-shoulder-1

2)Mkufu mrefu zaidi ya inch 20

one-shoulder-2

 

Related posts

2 Comments

  1. Dave T Bolno

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/jifunze-umbo-la-kola-na-mkufu-wa-kuvalia/ […]

  2. https://www.postandcourier.com/sponsored/phenq-reviews-does-this-diet-pill-actually-work/article_1cdbfb1a-395f-11ee-9d97-33c51303c959.html

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/jifunze-umbo-la-kola-na-mkufu-wa-kuvalia/ […]

Leave a Reply