SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

JINSI AMBAVYO WATU HUENDA MBALI KUTAFUTA UZURI
Skin Care

JINSI AMBAVYO WATU HUENDA MBALI KUTAFUTA UZURI 

Kila mtu anapenda kuwa na muonekano mzuri lakini wengine huenda mbali katika kuusaka huo uzuri, kuna hizi tiba mbili za uso ambazo zimetuacha mdomo wazi

1) Barakoa ya kinyesi cha ndege

45863836.cached

shizuka new York skin care saloon inatoa tiba ya ngozi ya lisaa limoja ambapo hutumia kinyesi cha ndege kwa kuchanganya na vipodozi vingine, tiba hii ina gharama ya $180 sawa na sh 396,000 ya kiTanzania.

2) Slap Facial Massage ( massage ya kupigwa makofi usoni)

Tata ( mwenye hii biashara) ana sema ukipigwa makofi usoni ni dawa inayo weza kukufanya uonekane una chini ya miaka 20, ana sema tiba hii ni bora kuliko plastic surgery kwa sababu hii ni ya asili zaidi, watu hulipa $350 sawa na tsh 770,000 za kiTanzania kufanyiwa tiba hii.

Related posts

3 Comments

  1. is molly synthetic,

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ambavyo-watu-huenda-mbali-kutafuta-uzuri/ […]

  2. 테더구매

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ambavyo-watu-huenda-mbali-kutafuta-uzuri/ […]

  3. Best universities in Africa

    … [Trackback]

    […] Here you will find 79661 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ambavyo-watu-huenda-mbali-kutafuta-uzuri/ […]

Leave a Reply