Mwanamitindo Cara Delivingne amenyoa nywele zake ali reveal muonekano wake mpya katika usiku wa met gala ambapo Cara alivaa Chanel pantsuit na matching pumps huku akiwa ame paka kichwa chake rangi ya silver iliyo endana na suit yake.
baada ya met gala Cara alichukua muda wake kutuonyesha kwamba amenyoa nywele kupitia ukurasa wake wa Instagram & we was like whaat? ilikua shocking kumuona na rangi ya silver kichwani lakini tuka assume kwamba alikuwa ana taka kwenda na theme. Lakini Cara pia ameonekana juzi katika tuzo za MTV Movie & Tv awards akiwa amepaka upara wake rangi ya dhahabu lakini guess what? ame jichora tattoo pia
Kitu amacho we can’t wait ni kuona namna nywele zitakavyo ota apo alipo pa tattoo well is it a yay or nay dear fashionista?
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-mwanamitindo-cara-delevingne-alivyo-accessories-kipara-chake/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-mwanamitindo-cara-delevingne-alivyo-accessories-kipara-chake/ […]