SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

JINSI NAZI INAVYO WEZA KUWA SCRUB
Skin Care

JINSI NAZI INAVYO WEZA KUWA SCRUB 

Kabla ya kuosha uso au kuoga basi chukua kitaulo kidogo kikavu kisha miminia mafuta yako ya nazi halafu anza kusugua uso wako na shingo taratibu, unaweza pia kufanya hivi kabla ya kulala usiku.

Matumizi ya mafuta ya nazi namna hii huondoa uchafu katika matundu yako ya ngozi na kupunguza uwezekano wa kuota chunusi huku ukiipa ngozi yako mng’ao kadri unavyotumia.

Iwapo upo sehemu yenye baridi sana na mafuta ya nazi huganda basi yeyusha kwa kuweka chupa kwenye maji moto kisha endelea, mafuta ya nazi yanayeyuka kirahisi yangeweza kuyeyuka wakati unasugua uso ila unaweza kujikuta umetumia mafuta mengi zaidi kwa mara moja.

Nazi ni kati ya mazao bora, unaitumia kila mahali.

Related posts

Leave a Reply