SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Jinsi Ya Ku-Blow Dry Nywele Za Asili Bila Kuziharibu
Hair

Jinsi Ya Ku-Blow Dry Nywele Za Asili Bila Kuziharibu 

Moto ni mbaya kwa nywele zetu, zinasababisha nywele ziwe dhaifu. Lakini nywele zetu za ki – Africa zinajikunja sana wakati mwingine ni kazi hata kuzichana inabidi ujaribu kuzilainisha kidogo au kuziweka ziwe straight. Leo tunakuletea namna ambavyo unaweza ku-blow dry nywele zako na usiziharibu.

Ndizi Inavyo Weza Kukusaidia Katika Ngozi Na Nywele

 • Osha na deep condition nywele zako – usiblow dry nywele zikiwa kavu au chafu, osha nywele zako na uziache zikae kwa dk 10-15 kisha ndio uziblow dry.
 • Detangle na chana nywele zako vizuri kabla ya kuzi-blow dry – hii itasaidia kufanya nywele zinyooke na zisitoke/kukatika wakati una zi-blow dry.
 • Paka heat protector – unaweza kutumia mafuta ya nazi au heat protector nyingine zinauzo uzwa madukani hizi husaidia kulinda nywele zako na moto utokao katika blow dryer na kufanya usifikie nywele direct

 • Kata mafungu – ukiwa una blow dry jaribu kukata mafungu na kublow dry fungu moja ukimaliza amia lingine
 • Tumia moto wa size ya kati mpaka size ya chini – usitumie moto mkali utaharibu nywele zako

Tips Za Jinsi Ya Kupendeza Na Nywele Fupi

 • Malizia blow dry yako na upepo wa baridi – kama kuna feni au uache zipate hewa ya baridi,  hewa ya moto hufungua safu ya cuticle ya  nywele  na hewa ya baridi hufunga na kuziba nywele, kuongeza uang’azaji na kupunguza frizz

 

Related posts

3 Comments

 1. click this over here now

  … [Trackback]

  […] Here you will find 36495 additional Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ya-ku-blow-dry-nywele-za-asili-bila-kuziharibu/ […]

 2. Investment

  … [Trackback]

  […] Here you can find 27234 more Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ya-ku-blow-dry-nywele-za-asili-bila-kuziharibu/ […]

 3. superkaya88

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ya-ku-blow-dry-nywele-za-asili-bila-kuziharibu/ […]

Comments are closed.