Hakuna kitu kina stress kama a broken make up, kama ni mpenzi wa make up utakua una lijua hili. Leo tumeona tukuletee namna rahisi ya ambavyo una weza ku fix make up yako bila kuingia gharama kubwa ya kununua make up nyingine.

Utahitaji

-rubbing alcohol

-kijiko

-ki sourceĀ  (sahani)

-tissue

na make up yako iliyo haribika

kwa maelezo ya jinsi ya kufanya fuatisha video hapo chini

 

Kwa wale msio ijua rubbing alcohol ni hio hapo chini una weza kuzipata super market.

Drinking-Rubbing-Alcohol