Tunaweza kusema rasta ni kama jeans kwenye mavazi huwa hazitoki kwenye chat ni vile tu mitindo ina badilika mara mabutu, mara njia tatu, mara kusokota. Kila siku wasusi na wapenda mitindo ya nywele wanajaribu kuleta mitindo mipya, urembo mpya na vinogeshi vipya vya rasta ili kuzidi kupata ladha tofauti tofauti as we all know wanawake wanapenda urembo.
Sasa hivi wengi wanatumia hivi vinogeshi, uzi, wire,hereni,hata pete nk
Well leo tumekuletea namna au jinsi ambavyo unaweza kuongezea vinogeshi katika rasta zako kutumia baadhi ya vitu tulivyo vitaja hapo juu
Hair Caffs akiwa ame changanya pamoja na wire, amechagua rangi nyeusi ya rasta ili kufanya rangi ya gold katika wire na hair caffs kushout na ionekanie
Vijana siku hizi wanasema ordinary is boring unaweza kutumia hereni zako kama mwanadada hapo chini alivyozitumia unaweza kuona kuna rounded earings na hair caffs
Hawa wametumia uzi wa rangi mbalimbali kunogesha rasta zao
hereni pamoja na hair caffs
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…