SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

JINSI YA KUONDOA CHUNUSI TIBA YA NYUMBANI
Skin Care

JINSI YA KUONDOA CHUNUSI TIBA YA NYUMBANI 

Chunusi husumbua sana usoni, husababisha maumivu, zikitumbuka zinaleta kidonda na mwishoe uacha alama ya weusi. Wengi wetu hatupendi chunusi huonekana kama uchafu usoni lakini chunusi huletwa na vyakula tunavyo kula na hasa vile vyenye mafuta. Hii ni moja ya Tiba ya kuondoa chunusi usoni kwa kutumia viungio vya nyumbani.

mahitaji:

  • Apple cider vinegar
  • green tea (chai ya kijani)
  • asali
  • kijiko
  • bakuli
  • sukari

1) mimina kijiko kimoja cha Apple cider vinegar kwenye bakuli

Step1_thumb2

2) mimina vijiko viwili vya baridi vya chai ya kijani (green tea)

Step22-thumbnail

3) mimina vijiko vitano vya sukari

Step3_thumb2

 

4) mimina vijiko vitano vya Asali

Step4_thumb2

changanya mchanganyiko wako na uanze kupaka usoni kwa kutumia pamba iache kwa muda wa dakika kumi na uoshe kwa maji ya baridi, fanya hivi mara mbili kwa week.

Related posts

2 Comments

  1. Discover More Here

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ya-kuondoa-chunusi-tiba-ya-nyumbani/ […]

  2. websites

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ya-kuondoa-chunusi-tiba-ya-nyumbani/ […]

Leave a Reply