SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

JINSI YA KUONDOA WEUSI SEHEMU ZILIZO JIFICHA
Skin Care

JINSI YA KUONDOA WEUSI SEHEMU ZILIZO JIFICHA 

Kuna baadhi ya sehemu huwa ngumu sana kutakata, kwa wale wanene mapajani huwa peusi kutokana na misuguano, lakini pia kuna shingo huwa nyeusi na pia makwapani hizi ndizo njia rahisi zisizo kugharimu kiasi kubwa cha fedha unazo weza kutumia kuondoa weusi huo

Baking soda na limao

Lemon-And-Baking-Soda-Combination-Saves-Lives

 

Limao ni zuri katika kung’arisha ngozi. na baking soda ni nzuri katika kuondoa uchafu unacho hitajika kufanya ni kuchanganya mchanganyiko wa baking soda na Limao paka sehemu yenye weusi kama ni kwapani au magotini sugua kwa muda kisha iache ikauke.

Maziwa na manjano

4788-turmeric-milk-for-beauty-and-health

maziwa nayo husifika kwa kung’arisha ngozi na manjano husifika katika kusafisha ngozi, changanya vikijo viwili vya raw milk pamoja na kiasi cha manjano kisha paka katika sehemu iliyo athirika na weusi, una weza kutumia cotton au sponge  kupakia kama ni chini ya makwapa ukisha paka nyanyua mikono juu mpaka ikauke kisha futa na maji ya vugu vugu

Baking soda na Asali

baking-soda-nd-honey

Ni vizuri kutumia vitu vya asili ili kuto kupata matokeo mabaya katika utumiaji wa vipodozi, asali iki changanywa na baking soda ukapaka sehemu yoyote yenye weusi utapata matokeo mazuri ya kusafishika, changanya asali na baking soda kisha paka sehemu iliyo athirika na ukae nayo kwa dakika 15 kisha ondoa kwa maji masafi.

Related posts