SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

JINSI YA KUPENDEZESHA HIJAB
Urembo

JINSI YA KUPENDEZESHA HIJAB 

Mara nyingi watu hudhani kupendezesha hijab yako ni kuvaa mkufu na pete lakini husahau kua kuna namna nyingine ya kupamba hijab zao, kama unavaa hjab ya rangi moja au mavazi yasiyo na urembo mwingi haito umiza kama ukiongezea na urembo mwingine ili kupata muonekano mzuri na wa kupendeza.

Vifuatavyo ni mapambo ambayo unaweza kuongezea katika hijab yako wengI wasio vaa hijab wana tumia kama vibanio katika nywele zao:

dusumali

kuongezea dusumali ni njia rahisi ya kupata muonekano mzuri wa hijab yako kuna dumusali nyingi ambazo unaweza kuvaa lakini kwangu naona ni vizuri ukichagua yenye maua maua, kama unaenda harusini tafuta ambayo ina vito lakini kama upo tu kawaida una weza kuchagua zenye kitai. Kuongezea dusumali yako unaweza kuweka juu ya hijab yako

314ddb1ccec69f4ec839a74f1f10d59c

Teeka

Teekas ni pambo la kusini mwa asia ambapo huvaliwa sana na ma bibi harusi, lakini zimekuja mpaka huku kwetu na zinapatikana kirasi katika maduka ya urembo

Teeka ni jinsi nyingine ya kupamba hijab yako, unaweza kuiweka teeka utosini ikaning’inia kwenye kikomo chako cha uso halafu ukafunga hijab au pia unaweza kuvaa hijab yako halafu ukaaining’iniza juu ya hijab vyovyote vile itapendeza

maatha-patti-300x251

Mkufu

Unaweza ukawa na mkufu wa zamani ambao labda unaupenda sana na huwezi kuutupa na umesha kuwa mfupi unaweza kuuvaa na hijab yako

head-chain-300x300

Pini za hijab

Hizi ni rahisi unaweza kuyakinisha na rangi ya hijab yako

hijab-pins-2-300x225

Related posts

2 Comments

  1. พนันบอล

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ya-kupendezesha-hijab/ […]

  2. important source

    … [Trackback]

    […] There you will find 12963 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ya-kupendezesha-hijab/ […]

Leave a Reply