SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Jinsi Ya Kutumia Ndizi Kwenye Urembo
Urembo

Jinsi Ya Kutumia Ndizi Kwenye Urembo 

 
Mbali na kulika, ndizi zina manufaa mengine, hasa katika urembo wa ngozi.Ndizi zina virutubisho muhimu vinavyoboresha ngozi. Ndizi pia zina aina tatu za sukari zinazojulikana kama ‘sucrose’, ‘fructose’ na ‘glucose’.


Hakikisha unanawa uso wako mara mbili  kwa siku. Unapofanya hivyo unaondoa uchafu,
Ndizi pia husaidia kuzuia chunusi.

Hakikisha unanawa uso kwa sabuni ambayo inaendana na ngozi yako. Ikiwa ngozi yako ni ya mafuta, hakikisha unatumia sabuni ambayo itakuacha ukiwa mkavu na kama ngozi yako ina ukavu, jioshe na sabuni itakayokufanya uwe na unyevu.

 • Kulainisha ngozi

Changanya asali na ndizi moja iliyopondwa na upake kwenye uso na shingo. Nawa uso kwa maji ya uvuguvugu baada ya muda wa nusu saa. Fanya hivi angalau mara moja kwa wiki.

 • Kung’arisha uso

Ndizi huwa na Vitamin C ambayo husaidia kuiweka ngozi kuonekana iking’aa. Kwenye ndizi iliyopondwa, ongeza vijiko viwili vidogo vya juisi ya limau na upake kwa uso na shingo. Osha kwa maji ya fufutende baada ya dakika 20. Ni vizuri kupaka mchanganyiko huu wakati unapoenda kulala.

 • Kuzuia mikunjo

Ponda parachichi na ndizi pamoja. Paka kwa uso na uoshe baada ya muda. Mchanganyiko huu hulainisha ngozi ya uso na kuwa laini lakini pia upunguza ukubwa wa matundu ya ngozi ya uso wako.

 • Kusugulia uso (Scrubing)

Changanya ndizi na sukari kijiko kimoja, kisha paka usoni na usugue taratibu. Ndizi hulainisha ngozi kavu na sukari huondoa seli zilizokufa kwenye ngozi.
Saga ndizi moja na Oats vijiko vitatu kisha changanya na asali na maziwa. Paka usoni kwa dakika 15 kisha sugua. Baada ya dakika 15 osha. 


©binturembo 

Related posts

7 Comments

 1. look what i found

  … [Trackback]

  […] There you will find 8935 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ya-kutumia-ndizi-kwenye-urembo/ […]

 2. Plantation Shutters

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ya-kutumia-ndizi-kwenye-urembo/ […]

 3. ufabet

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ya-kutumia-ndizi-kwenye-urembo/ […]

 4. Hawaiian Psilocybe Mushrooms​

  … [Trackback]

  […] There you can find 86558 more Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ya-kutumia-ndizi-kwenye-urembo/ […]

 5. molly drug good,

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ya-kutumia-ndizi-kwenye-urembo/ […]

 6. 티비위키

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ya-kutumia-ndizi-kwenye-urembo/ […]

 7. chocolate mushrooms edibles

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ya-kutumia-ndizi-kwenye-urembo/ […]

Comments are closed.