Ikiwa ni Mwezi Mtukufu wa Ramadhani wengi huwa tuna kaa natural, kuto kupaka vipodozi vya aina yoyote hii na kukosa kunywa maji kwa masaa kumi na mbili ina weza kusababisha ngozi kukauka na kukosa mvuto unao takiwa. Hizi ni namna chache ambazo unaweza kufanya ngozi yako ikawa sawa kipindi hiki
- hakikisha una kunywa si chini ya glasi 8 za maji baada ya kufungulia
- hakikisha kuto kula vitu vyenye mafuta sana ambavyo vinaweza kusababisha kutokwa na chunusi
- Jaribu kupunguza matumizi ya caffeine kama kahawa,soda na chai hivi vina minerals nyingi ambazo zina weza kusababisha kukauka kwa ngozi
- Ramadhani ni mwezi ambao tunakula vitu vitamu vyenye sukari jaribu kutumia sukari kidogo kwa maana nayo inaweza kusababisha chunusi
- Kuamka usiku kula daku kuna weza kusababisha weusi chini ya macho tumia tea bags kuondoa weusi huo au hakikisha una pata usingizi wa kutosha.
- kula matunda na mboga mboga katika kipindi cha iftar ili kuweza kuipa ngozi yako afya njema
- baada ya kuosha uso wako paka mafuta ambayo yata kusaidia kuweka ngozi yako safi na nyororo
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ya-kutunza-ngozi-kipindi-hiki-cha-ramadhani/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ya-kutunza-ngozi-kipindi-hiki-cha-ramadhani/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ya-kutunza-ngozi-kipindi-hiki-cha-ramadhani/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ya-kutunza-ngozi-kipindi-hiki-cha-ramadhani/ […]