nywele halisi

Kutokana na madiliko katika mfumo wa chakula katika ramadhani,nywele zako zitegemewe kudhoofu. Kwa wanawake wengine nywele zao zina kauka na wengine zinakatika.

Habari nzuri ni kwamba unaweza kudhibiti hali hii kwa kufuata yafuatayo:

  • Barakoa ya Nywele (Hair Mask)

Kuza na Ng’aza Nywele zako kutumia Barakoa tofauti tofauti za nywele ambazo ni za asili (barakoa zilizo tengenezwa nyumbani) mfano, Barakoa ya ndizi na parachichi

ndizi na parachichi


  • Chagua Kitana Kizuri Kwa Nywele Zako

Kwa nywele ndefu: chagua kitana kilicho tengenezwa kwa ajili ya nywele za asili
kichana

Kwa nywele fupi: tumia kitana kilicho tengenezwa kwa ajili ya nywele za nailoni (bandia)

kichana cha nailoni


  • Kula vizuri

Kula matunda na mboga mboga kwa wingi hii inaweza kusaidia kukuza na kutunza nywele zako pia hakikisha una kunywa kikombe kimoja cha maziwa fresh au mgando kila siku.Mbogamboga na Matunda


Comments

comments